Gallery
Dar es Salaam. Wasanii Hamisa Mobeto na Irene Uwoya wameomba radhi kwa kosa la kuweka picha za utupu katika mitandao ya kijamii.
Hamisa Mobeto; ni malkia wa Bongo ambaye ameibuka na onyo kali kwa baadhi wanaume ambao wamekuwa wakimtumia picha za utupu wao.
Mobeto, Uwoya waomba radhi kwa kuanika picha zao za utupu






