Gallery
“Kikubwa ni vijana kuacha kutumia mitandao vibaya na kwa wasanii lazima tuunge mkono jitihada za Serikali kwa kuwa mabalozi wa kukemea matendo mabaya yanayofanyika mtandaoni,”amesema.Kwa upande wa Nandy ameendelea kuomba radhi kwa kitendo cha picha zake za faragha kusambaa mtandaoni na kusisitiza haikuwa dhamira yake na hivyo anaomba msamaha kwa Watanzania wote na hasa mashabiki wake.
Video hiyo ya utupu inaaza kusambaa mtandaoni siku moja mara baada ya Nandy kum-wish happy birthday Bill Nass na kuachia picha ambazo hazikuwahi kuonekana hapo awali zikiwaonyesha wakiwa karibu zaidi.
Sasa leo tunajua Ommy ka-trend na picha zake na Nandy, ukweli ni kwamba picha hizo zinatoka kwenye scenes za goma lake jipya ft. Nandy ambalo linadondoshwa siku yoyote wiki hii, hayo ndio maelezo ya Dimpoz baada ya kupost hizi picha bila maelezo ya kutosha kwenye Instagram ambapo aliandika tu Happy New Year.
“Nilikuwa ofisini kwangu napigiwa simu nyingi nyingi wananilaumu vipi mtoto, yaani kama vile kitendo alichokifanya Nandy ni kama nimekifanya mimi, kwa jinsi wanavyotoa shutuma, nikawa najiuliza kumetokea nini, katika kuchunguza ndio nikaambiwa, mimi sijaiona hiyo picha, niliambiwa tu, nilichokifanya nikasema huu ndio mwisho wa huyu mtoto, mwisho wake wa kuimba umefika, sababu yale niliyokuwa nayaogopa naona yameshakuja”, amesema Baba yake Nandy.














