Gallery
WIMBI KUBWA LA WADADA NA NGUO FUPI NUSU UCHI MITAANI
Dah! JPM alivyo bana matumizi mtaani hela hazipo kabisa, bora ww ndugu yangu umeamua kuwapondea wasichana wanao vaa nguo ndefu ili waone aibu waje wanunue vile vimini dukan kwako. bravo!!!!
Umevaa nguo fupi mwenyewe na ulivyotoka nyumbani ulijiona umependeza umefika njiani unaanza kuhangaika kuishusha kuziba mapaja au sehemu iliyo wazi, kwani ulivyo vaa hukulijua hili? Kama umea amua…
mwanao wa kike anaweza vaa nguo fupi mbele yako??









